-
Welcome
-
BARABARA YA SIMIYU - MBULU HADI ARUSHA KUJENGWA KWA LAMI
Serikali imeanza usanifu kwa ajili ya ujenzi wa barabara ya lami itayounganisha Mikoa ya Simiyu, Singida, Manyara na Arusha ili kupunguza umbali wa safari uliopo sasa.
-
PROF. MBARAWA AWAONYA TBA.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof. Makame Mbarawa, ameuagiza Wakala wa Majengo (TBA), kuhakikisha wanakamilisha ujenzi wa miradi yote waliyopewa na Serikali kwa wakati.