Uboreshaji wa Mtandao wa Barabara kuu na Barabara za mikoa.
Mikakati
- Uimarishaji mtandao wa barabara kuu na barabara za mikoa;
- Uimarishaji wa utafiti na maendeleo wa Wakala;
- Uimarishaji usimamizi wa masuala ya kimazingira, kijamii, kiafya, VVU/UKIMWI na usalama barabarani;
- Uimarishaji udhibiti wa uzito wa mizigo kwenye barabara;
- Uimarishaji usimamizi wa mtandao wa barabara;
- Uboreshaji ubora wa kazi za barabara.
Uboreshaji wa usimamizi wa Rasilimali watu.
Mikakati
- Uanzishaji mpango wa kuendeleza Rasilimali watu;
- Uandaaji mahitaji ya ajira;
- Uandaaji na Utekelezaji mpango wa mafunzo na maendeleo kwa watumishi;
- Utekelezaji wa mfumo wa usimamizi wa utendaji na tathmini
Uimarishaji uwezo wa taasisi katika usimamizi wa mifumo.
Mikakati
- Uimarishaji utawala bora, Usimamizi wa tahadhari na udhibiti wa ndani;
- Uboreshaji usimamizi wa kumbukumbu;
- Kuhakikisha uwiano kati ya gharama na thamani (thamani ya fedha);
- Uboreshaji mazingira ya kazi;
- Uboreshaji usimamizi wa TEHAMA;
- Uboreshaji mahusiano ya jamii na huduma kwa wateja;
- Uboreshaji huduma za ufuatiliaji na utathimini;
- Ufanyaji tathimini ya taratibu za kiutendaji na utoaji mifumo itakayoboresha taratibu za utendaji.
Uboreshaji usimamizi wa fedha.
Mikakati
- Uongezaji usimamizi wa rasilimali fedha;
- Uboreshaji tija na ufanisi katika utoaji taarifa za fedha;
- Uboreshaji usimamizi wa mali zisizohamishika.