Kulingana na maswala muhimu yaliyaoainishwa ,wakala imeazimia malengo sita (6) ya kutekelezwa
- Uboreshaji wa Mtandao wa Barabara kuu na Barabara za mikoa.
- Uboreshaji wa Usimamizi wa Rasilimaliwatu.
- Uimarishaji Uwezo wa taasisi katika mifumo ya usimamizi.
- Uboreshaji Usimamizi wa Fedha.
- Upunguzaji wa Maambukizi ya VVU/Ukimwi na Uboreshaji huduma za msaada.
- Uimarishaji na uendelezwaji wa mkakati wa kitaifa wa kupambana na rushwa.