• Welcome

  • NAIBU WAZIRI KWANDIKWA AWATAKA WAFANYAKAZI MIZANI KUACHA RUSHWA.

    Wafanyakazi wa mizani nchini wametakiwa kufanya kazi kwa weledi, uadilifu na kuachana na vitendo vya rushwa ili kuleta tija na ufanisi wa kazi zao
    katika usimamiaji na ulinzi wa barabara ambazo Serikali imekuwa ikitumia gharama kubwa katika ujenzi wake.

  • NAIBU WAZIRI KWANDIKWA AMWAGIZA CHICO KUJENGA KIWANJA CHA NDEGE SHINYANGA.

    Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mheshimiwa Elius Kwandikwa, amemtaka Mkandarasi wa kampuni ya ujenzi ya kichina ya CHICO aliyepewa zabuni ya ujenzi wa kiwanja cha ndege cha Shinyanga kufika eneo la mradi na kuanza ujenzi wa kiwanja hicho haraka iwezekanavyo.