• Welcome

  • KWANDIKWA AAGIZA DARAJA LA RUHUHU KUKAMILIKA

    Naibu Waziri wa Ujenzi, Elias Kwandikwa, amemtaka mkandarasi anayejenga daraja la Ruhuhu wilayani Nyasa, mkoani Ruvuma kuendelea kufanya kazi kwa bidii ili kuhakikisha  anamaliza daraja hilo kwa wakati na kwa ubora unaotakiwa.

  • WANANCHI WA MBAMBA BAY WATAKA BARABARA YA LAMI.

    Wananchi wa Mbamba Bay wilayani Nyasa, mkoani Ruvuma wameiomba Serikali kuharakisha ujenzi wa barabara ya Mbinga-Mbamba Bay (km 67), kwa kiwango cha lami ili kutatua changamoto za usafirishaji wa abiria na mizigo wanazozipata hususan katika kipindi cha masika.

  • ALL PROSPECTIVE BIDDERS CLARIFICATION No. 3 MBINGA-MBAMBA BAY ROAD

    clarification no 3. to the bidding documents for upgrading of Mbinga- Mbamba Bay Road to Bitumen Standard