• Welcome

  • DARAJA LA MOMBA KUFUNGUA FURSA MIKOA YA MAGHARIBI

    Imeelezwa kuwa kukamilika kwa Daraja la Mto Momba linalounganisha mikoa ya Rukwa na Songwe kutafufua fursa za kiuchumi katika mikoa ya magharibi na kuongeza kasi ya uzalishaji wa mazao ya kilimo na mifugo.