• Welcome

  • Barabara ya Makete-Mbeya kufunguka kwa lami

    Barabara ya Makete-Mbeya kufunguka kwa lami

  • WAZIRI KAMWELWE AAGIZA WALIOJENGA JIRANI NA UWANJA WA NDEGE WA NJOMBE WAONDOLEWE

    Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe, ameuagiza uongozi wa Mkoa wa Njombe na Halmashauri yake pamoja na uongozi wa kiwanja cha ndege cha mkoa huo kuona namna  ya kuziondoa nyumba zote zilizopo mita 500 kutoka katika kiwanja hicho ili kupisha ujenzi unaotarajiwa kufanyika katika kiwanja hicho hivi karibuni. 

  • WAZIRI KAMWELWE AAGIZA TANROADS KUICHUNGUZA KAMPUNI YA CHICO

    Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Isack Kamwelwe, ameuagiza Wakala wa Barabara nchini (TANROADS), mkoa wa Njombe kumchunguza mkandarasi wa Kampuni ya China Henan International Cooperation (CHICO), anayejenga barabara ya Njombe-Moronga yenye urefu wa KM 53.9 kwa kiwango cha lami kama ana wataalaamu wa kutosha.

  • TANROADS WAAGIZWA KULETA MZANI MAKAMBAKO

    Naibu Waziri wa Ujenzi, Elias Kwandikwa, ameuagiza uongozi  Wakala wa Barabara (TANROADS), Makao makuu kuhakikisha ndani ya mwezi mmoja  wanaweka mzani mwingine wa kuhamishika katika eneo la mzani wa Makambako ili kuweza kutatua  changamoto ya msongamano wa magari katika eneo hilo.