-
Welcome
-
TANGAZO LA MNADA WA HADHARA
TANGAZO LA MNADA WA HADHARA
-
PROF. MBARAWA AAHIDI KUKAMILIKA KWA UJENZI WA DARAJA LA MTO MARA
Serikali imesema ujenzi wa daraja la mto Mara lenye urefu wa mita 94 lililopo katika barabara ya Tarime-Mugumu-Nata litakamilika mwanzoni mwa mwezi wa nne mwaka huu.
-
PROF. MBARAWA ATOA MIEZI 9 KWA MKANDARASI KUKAMILISHA UJENZI WA BARABARA IFIKAPO NOVEMBA MWAKA HUU
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa amemtaka mkandarasi Nyanza Road Works kukamilisha ujenzi wa barabara ya Bulamba-Kisorya yenye urefu wa KM 51 kwa kiwango cha lami ifikapo mwezi Novemba mwaka huu.