MUONEKANO WA MIUNDOMBINU YA MABASI YAENDAYO KWA HARAKA AWAMU YA PILI
Dar es salaam
Muonekano wa miundombinu ya Mabasi yaendayo kwa Haraka (BRT) Awamu ya Pili, jijini Dar es Salaam, inayofunguliwa rasmi leo, Agosti 7, 2026, na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan.