Upanuzi wa Barabara ya Mwenge Morocco


Kazi ya upanuzi wa Barabara ya Mwenge Morocco imekwisha anza na TANROADS siku moja baada ya Rais kutamka ujenzi huo kufanyika.


Date: 01 Dec, 2015.