| DATE FROM | Thursday 22 June, 2017. |
|---|---|
| DATE TO | Thursday 22 June, 2017. |
| VENUE | Daraja la Ruvu Chini, Wilaya ya Bagamoyo., Coast. |
| DESCRIPTION |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli atakuwa Mgeni Rasmi katika sherehe za ufunguzi wa Barabara ya Bagamoyo - Msata. |