Directorates

Miradi

Kurugenzi hii inaratibu shughuli zote za Miradi ya Ujenzi wa Barabara na Madaraja kama ilivyowekwa katika Mipango Mkakati. Pia inahusika na kutekeleza Miradi ya Barabara na Madaraja kama ilivyopangwa katika Mipango ya Mwaka. Idara zilizopo chini ya Idara hii ni;

  • Miradi inayofadhiliwa na Serikali ya Tanzania.
  • Miradi inayofadhiliwa na Nchi Wahisani.
  • Miradi ya Ushirikiano wa Nchi mbili.
  • Miradi ya Ushirikiano kati ya Serikali na Sekta Binafsi.