Directorates

Matengenezo

Kurugenzi hii ina jukumu la maandalizi kwa ujumla , uratibu na udhibiti wa bajeti ya Wakala wa barabara na mpango wa matengenezo ya barabara na madaraja  kama ilivyoainishwa katika Mkakati.

Idara ya chini ya Kurugenzi hii ni:

Huduma kwa Kanda ya Ziwa ( Mwanza , Mara, Shinyanga , Kagera, Tabora , Kigoma , Geita na Simiyu ).

Huduma kwa Kanda ya Pwani ( Dar es Salaam, Pwani , Lindi, Mtwara na Tanga ).

Huduma  kwa Kanda ya Nyanda za Juu  Kusini ( Mbeya, Iringa , Ruvuma , Morogoro , Rukwa , Katavi , Njombe na Songwe ).

Huduma kwa Kanda ya Kati ( Dodoma, Singida , Arusha, Kilimanjaro na Manyara ).

Huduma kwa  Uendeshaji wa mizani nchi nzima.