Directorates

Huduma za Uendeshaji

Kurugenzi ya Huduma za Uendeshaji inahusika na kutoa Ushauri wa Kitaalamu kwa TANROADS kwenye Masuala ya Fedha na Uhasibu, Mifumo ya Mawasiliano ya Teknolojia ya Habari, Mahusiano ya Umma, na Rasilimali watu na Uongozi. Kurugenzi hii ina Idara zifuatazo;

  1. Idara ya Rasilimali watu
  2. Idara ya Fedha
  3. Idara ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
  4. Idara ya Mahusiano ya Umma.